Lugendo, DorineNyangara, KarenNyangara, KarenKangahi, Maurine (Translator)2024-06-182024-06-182024http://hdl.handle.net/11599/5611The Commonwealth of Learning has designed learning materials on Financial Literacy for Entrepreneurs in non-formal education. There are two sets of resources in English and Kiswihili: A Participant’s Handbook and A Facilitator’s Manual. The Participant’s Manual consists of easy-to-follow lessons for beginning entrepreneurs, designed to ensure adaptability, flexibility in delivery and relevance in low resource settings. The Facilitator’s Manual gives instructions for quick and easy preparation for facilitating each learning unit. Kiswahili: Shirika la Commonwealth of Learning imeunda nyenzo za kujifunzia kuhusu Maarifa ya Kifedha kwa Wajasiriamali katika elimu isiyo rasmi. Kuna seti mbili za Nyenzo: Kitabu cha Mshiriki na Mwongozo wa Mwezeshaji. Mwongozo wa Mshiriki unajumuisha masomo ambayo ni rahisi kufuatilia kwa wajasiriamali wanaoanza, vimeundwa kuhakikisha urahisi wa kuendana na mazingira, wepesi katika utoaji wa mafunzo katika maeneo yenye rasilimali chache. Mwongozo wa Mwezeshaji unatoa maelekezo rahisi na ya haraka kwa ajili ya kuwezesha kila mada ya mafunzo.enhttps://creativecommons.org/licenses/by-sa/4.0/EntrepreneurshipCommerceLiteracyFinancial Literacy for Entrepreneurs / Elimu Ya Kifedha Kwa WajasiriamaliCourse